Thursday, June 16, 2011

Picha mbalimbali za Host akihangaika na mchakato wa FFM

 Mtaalam wa GRM Production akirekebisha lapel ya host

 Host akila kajipozi uchwara

 Host akipiga round kwenye stage area akiwa amedata

 Host akiwa amechanganyika kidogo (sijui na nini!!)

 Host akipitia notes zake kabla shooting haijaanza

Phew.!!!...ngoma inaonekana mzito kwa host.

No comments:

Post a Comment