Friday, July 29, 2011

This is how July Shooting went down!

 Host na vipozi vyake uchwara
FFM Director (Prosper) akiwa kazini kama kawaida yake
 Ntyuka Family kutoka pande za Kimara
Msiliga Family kutoka pande za Ukonga
 Karen-wa-ukweli akisubiri zamu ya familia yake kusaka Million 1
FFM Game Operator (Stella) akiwa tayari kuanza mchakato
 FFM Producer (ambaye pia ndiye host) akirekebisha mambo kwenye computer
Host akiwa kwenye action!
 Mobeto Family kutoka pande za Mbagala
Amlima Family kutoka pande za Gongo la Mboto
 Mtaalama wa GRM (Sudi) akihakikisha sauti zinaingia kama inavyotakiwa
Mtaalam wa GRM (Lusubilo) aki-control camera 2 kati ya 4 zinazotumika ku-shoot FFM
 Lights.....Camera.....Action!!
FFM Director and Game Operator waki-chitchat kidogo
 Host akijiweka sawa kabla ya kuanza mchakato
Host akiwa amedata kama kawaida yake

Sunday, June 26, 2011

Checkout Episode 8: Chivula vs Chondo showdown!!

Due to the size of the file, I had to breakdown the episode into parts to fit youtube file size limitation. So some parts maybe missing out unfortunately. Also, the exercise may have caused the video quality to weaken a little bitFFM Special Episode - narrating the entire flow of the show

Tuesday, June 21, 2011

Picha mbali mbali za washiriki wakijivinjari siku ya shooting

 Host akipiga story na Cheyo Famiy
 Baadhi ya memba wa Mwasa Family wakilapozi la snap
 Host akiagana na washiriki baada ya kumaliza ku-shoot
 Cheyo-Wa-Ukweli  akila pozi. Nasikia ana G.P.A ya 4.0. Eti kweli Cheyo?
Host aki-chitchat na washiriki baada ya kumaliza shooting
 Dada mcharuko huyu balaa...lakini alipendezesha kipindi sana kwa uchangamfu wake. Nilimpenda kwa kweli!

Host akilamba snap na Nyakenzi family

Njenge family wakiwakilisha kama kawa
Baadhi ya washiriki walikamata mic na kuanza kuchana mistari

Watu wanaosema eti mwanamke macho mimi hata siwaelewi.....!!!

Cheyo Family wakionekana wana usongo wa kuondoka na kitita cha Tshs. 1,000,000. Hii famila machachari kweli...haswa yule wa pili kutoka kushoto..lol
Chivula family wakijipanga kabla ya kuanza kusaka mapesaaa
Member wa Cheyo Family katika pozi