Tuesday, June 21, 2011

Picha mbali mbali za washiriki wakijivinjari siku ya shooting

 Host akipiga story na Cheyo Famiy
 Baadhi ya memba wa Mwasa Family wakilapozi la snap
 Host akiagana na washiriki baada ya kumaliza ku-shoot
 Cheyo-Wa-Ukweli  akila pozi. Nasikia ana G.P.A ya 4.0. Eti kweli Cheyo?
Host aki-chitchat na washiriki baada ya kumaliza shooting
 Dada mcharuko huyu balaa...lakini alipendezesha kipindi sana kwa uchangamfu wake. Nilimpenda kwa kweli!

Host akilamba snap na Nyakenzi family

Njenge family wakiwakilisha kama kawa
Baadhi ya washiriki walikamata mic na kuanza kuchana mistari

Watu wanaosema eti mwanamke macho mimi hata siwaelewi.....!!!

Cheyo Family wakionekana wana usongo wa kuondoka na kitita cha Tshs. 1,000,000. Hii famila machachari kweli...haswa yule wa pili kutoka kushoto..lol
Chivula family wakijipanga kabla ya kuanza kusaka mapesaaa
Member wa Cheyo Family katika pozi

No comments:

Post a Comment